1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT #INAPANGISHWA
Kimara Korogwe
Dakika 13-15 Kutembea Toka mwendokasi, Boda boda 1000 mpaka Hapo
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master
🔹Sebule
🔹Dining
🔹Jiko
🔹Umeme & Maji #Inajitegemea
🔹Fensi & Parking Kubwa
👉Ziko 4 Kwenye Compound na Hii Inakuwa Wazi Tar 28/02 /2024 Kuiona na Kulipia Ruksa
🔸Kodi Tsh 250,000/=x6(Miezi Sita)
🔸Malipo ya Dalali Tsh 250,000/=
🔸Service Charge Tsh 15,000/=
#Piga_simu📞
0712528820
0685221354
#
&Whatsapp
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😁