1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT MPYA#INAPANGISHWA
๐Kimara korogwe
๐Umbali wa Kutoka stand ya mwendo Mwendokasi Dakika 6 Tu kwa mguu
#SIFAZAKE
๐ธChumba Kimoja master kikubwa
๐ธSebule
๐ธJiko linawekwa makabati
๐ธUmeme & Maji #Inajitegemea
๐ธFence & Parking kubwa
๐Zipo apartments 4 kwenye Compound
๐นKodi Tsh 300,000/=ร6(Miezi 6 )
๐นMalipo ya Dalali Tsh 300,000/=
๐นService Charge Tsh 15, 000/=
๐Zinakuwa zimekamilika kwa kuhamia Tar 15/09/2025 kuona na kufanya malipo luksa kabisa
#Piga_simu๐
#0710614924
#0688653940