1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent
Location: KIMARA TEMBONI
Distance: DK 10-12 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD, BODA 1000
KODI: 250,000 × FIXED PRICE
📍SEBULE KUBWA SANA
📍CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
📍JIKO KUBWA ZURI
📍NDANI YA FENCE
📍LUKU YAKO
📍METER YA MAJI YAKO
📍PARKING SPACE KUBWA 🚘
📍MAJI YANATOKA NDANI 24HRS
📍RESERVE TANK
📍GOOD ENVIRONMENT 👍
Kwa Maelezo Zaidi Piga :---
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp
Wote Mnakalibishwa
Angalizo: Inakuwa Wazi 01/05/2025
Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA BOSS 💰 ✍️