1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


๐น๐ฟ #APARTMENT MPYA MPYA #INAPANGISHWA
โโโโโ
๐kimara korogwe
๐Umbali kutoka standi ya mwendo kasi dakika 7_8 kwa mguu usafili boda boda 1000 tu.
#SIFAZAKE
๐นChumba Kimoja Master
๐นSebule kubwa
๐นHakuna jiko
๐นUmeme & Maji #Inajitegemea
๐นMaji yanaflow ndani masaa 24
๐นFensi ipo & Parking hamna
๐Ndugu mteja nyumba ni mpya Zimebaki mbili tu .
๐ถKodi Tsh 180,000/=ร6( Miezi Sita)
๐ถMalipo ya Dalali Tsh 180, 000/=
๐ถService Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu
0712528820
0685221354
Mr.



















