1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment inapangishwa KIMARA MWISHO dk 10
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Public toilet
Luku yako
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Parking
Kodi 250,000/= Kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.



















