1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent
Zipo 5 Kwenye Fence
Location: KIMARA BARUTI
Distance: KM 1 Kutoka Main Road Kituo cha Mwendokasi Unaweza Unatembea Dk 15 Au Usafiri 24Hours Bajaji 500, Boda 1000
📍Sebule Kubwa Sana
📍Chumba Kimoja Kikubwa Master
📍Jiko Kubwa Zuri
📍Public Toilet ya Wageni Nje 🚻
KODI 250,000 × 6
📍Parking Space Available 🚘
📍Apartment inajitegemea LUKU Umeme Na Maji
📍DAWASA Yanaflow Ndani 24HRS
📍Reserve TANK
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp