1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿#APARTMENT #INAPANGISHWA
📍Kimara Mwisho
🕓Umbali wa km 1.8 Kutoka stand ya mwendo Mwendokasi.usafili bajaji 700 bodaboda 1000 Tu mpaka getini
#SIFAZAKE
🔸Chumba Kimoja master
🔸Sebule
🔸Jiko
🔸Umeme & Maji #Inajitegemea
🔸Fence & Parking Kubwa
👉Zipo apartments 4 kwenye Compound hii ndio Ikowazi
🔹Kodi Tsh 220,000/=×6(Miezi Sita)
🔹Malipo ya Dalali Tsh 220,000/=
🔹Service Charge Tsh 15, 000/=
📌📌 Ukiwa na miezi 4 kuendelea njoo tutakuombea
#Piga_simu👇
O627977383
# 📞. &Whatsapp
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😁