1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Bucha
🕑Dakika 6 Kutembea Toka Morogoro Main Road.
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master
🔹Sebule
🔹Kibalaza
🔹Umeme Luku watatu & Maji yanaflow ndani
🔹Haina fensi, lakini usalama ni mkubwa
🔶Kodi Tsh 200,000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Tsh 200,000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊