1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT MPYA INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍 Eneo: Kimara Korogwe
🕑 Umbali: Dakika 7–8 kutoka stand ya mwendo kasi, usafiri kwa boda TZS 1,000/=
#SIFAZAKE
🔹 Chumba kimoja Master kikubwa
🔹 Sebule kubwa
🔹 Umeme: LUKU (unajitegemea)
🔹 Maji yanapatikana masaa 24
🔹 Ndani ya fensi, bado iko kuwekwa geti tu; mazingira mazuri sana
👉 Imebaki moja tu – ndugu mteja wahi haraka!
#GHARAMA
🔶 Kodi: TZS 180,000/= × miezi 6
🔶 Malipo ya Dalali: TZS 180,000/=
🔶 Service Charge: TZS 15,000/=
📞 Wasiliana:
#Follow_us 🙏
Karibu sana, mteja 😊


















