1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA BARUTI
DK 8 TOKA MOROGORO ROAD
BEI NI 220,000/=X6
SIFA ZAKE
NI CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
INA JIKO KUBWA LINA MAKABATI
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
HAINA FENSI USALAMA SAFI
BARABARA NI RAFIKI MNO
NOTE
ITAKUWA WAZI TAR 17/12/24
KUONA NDÀNI NI TAR HIYO