1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
Apartment inapangishwa KIMARA MWISHO dk 8 - 10 kwa mguu
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
MASTER BEDROOM
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Luku yako & Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Usalama wakutosha
Kodi 250,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.