1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/03/2025 KUONA MALIPO RUKSA
#MASTER BERD ROOM KUBWA NA JIKO
#CHUMBA KIMOJA CHENYE CHOO NDANI NA JIKO
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI
#LUKU SUBMITER
#MAJI MITA YAKO
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 160,000/= KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.