1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINAPANGISHWA;
UMBALI WA MITA 500 BODA 1000 AU KUTEMBEA DAKIKA 8
#CHUMBA_SEBULE_NA_JIKO_CHOO NDANI
💧Location ::KIMARA STOP OVER
💧Bei :: 250,000 kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Chumba kimoja
📍Sebule Kubwa
📍Choo cha Public
📍Jiko Kubwa
📍Fence
📍Feni
📍Umeme wako
Service charge ni 20,000/=
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747