1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #MPYAA #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Korogwe
🕔Umbali 1.5km Kutoka Mwendokasi, Bajaji 500 au Boda Boda 1000.
#SIFAZAKE
💧Chumba kimoja Master kikubwa
💧Sebule kubwa
💧Jiko linafungwa makabati
💧Umeme & Maji #Inajitegemea
💧Full Air Conditioner
💧Fenced car Parking Kubwa
👉Hii Inakuwa tayari kuhamia Tar 01/01/2024 Kuiona na na Kufanya malipo ruksa
♦️Kodi Tsh 400,000/= ×6(Malipo ni Miezi Sita)
♦️Malipo ya Dalali Tsh 400,000/=
♦️Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊