1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT Classic FOR Rent ✨️
PRICE: 300,000 × 4/5/6
💥 ITAKUA WAZI KUANZIA 31/07/2025
KUONA NDANI RUKSA KABISA NDUGU MTEJA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO 💰✍️
✔️SEBULE KUBWA SANA
✔️CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
✔️PUBLIC TOILET 🚻
✔️LUKU Na METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
✔️YANAFLOW JIKONI Na VYOONI 24HRS
✔️RESERVE TANK
✔️FENCED
✔️PARKING SPACE KUBWA 🚘
✔️GOOD ENVIRONMENT 👍
💥INAYOPANGISHWA NI YA CHINI NDUGU MTEJA
Location: KIMARA STOP OVER
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU 🚶🚶
NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA 🚗
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp