1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿#APARTMENT #INAPANGISHWA
📍Kimara korogwe
🕓Umbali wa Kutoka stand ya mwendo Mwendokasi.Dakika 15 kwa mguu usafili bajaji 500 bodaboda 1000 Tu mpaka getini
#SIFAZAKE
🔸Chumba Kimoja master
🔸Sebule
🔸Jiko la nje
🔸Lisave tank
🔸Umeme & Maji #Inajitegemea
🔸Fence & Parking Kubwa
📌 usisahau hela ya tahadhali mwezi mmoja km una miezi 2 njoo na hela ya tahadahali mwezi mmoja tuta kuombea
👉Zipo apartments 4 kwenye Compound moja kati ya izo itakuwa wazi jioni
🔹Kodi Tsh 250,000/=×3,4,5,(MpakaSita)
🔹Malipo ya Dalali Tsh 250,000/=
🔹Service Charge Tsh 15, 000/=
#Piga_simu👇
0712528820
0685221354
# 📞. &Whatsapp
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😁