1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT CLASSIC FOR RENT ✨️
KODI 400,000 × 6
LOCATION: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
DISTANCE: KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD Au UBUNGO EXTERNAL
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500
✅️SEBULE KUBWA
✅️CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
✅️JIKO KUBWA la KISASA
✅️MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI 24HRS
✅️UMEME LUKU YAKO
✅️NDANI YA FENCE
✅️PARKING SPACE AVAILABLE 🚘
✅️GOOD ENVIRONMENT 👍
NB: UKILIPIA NYUMBA UMELIPIA PAMOJA NA MAJI UDAIWI IMEJUMLISHWA KWENYE KODI
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp