1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment MPYA inapangishwa KIMARA KOROGWE dk 5
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Master bedroom
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Public toilet
Luku yako
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Parking yakutosha
Kodi 350,000/= Kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.