1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Location: KIMARA KOROGWE
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 1 Kutoka Kwenye Lami
✅️Sebule Kubwa
✅️Chumba cha kimoja cha Kulala
✅️Public Choo Kizuri Ndani
✅️Jiko Zuri
✅️Heater ya Maji
✅️CCTV CAMERA
✅️ Electrical Fance
✅️Full A/c
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking Haipo Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani.
Price: 400,000 × 6
Service Charge ni 15,,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipia nyumba
📌Itakuwa Wazi Jumamosi Ya Week Hii
📌Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA BOSS 💰 ✍️
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp