1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(KODI 500,000X6) #apartment nzuri Kubwa ya kifamilia Inapangishwa
,#mahala ilipo Kimara mwisho\n\nIpo umbali wa dk 8 - 10 kwa mguu kutoka kituoni mwendokasi
#Muundo
#Viumba vitatu,vakulala Kimoja master bedroom,
#Sebulekubwa
#Dinning room
#Jiko kubwa lamakabat ya juu na yachini
#Public toilet
#Full A C
#Luku na mita maji inajitegemea
#Ipo ndani fens peveng block
#parking space Kubwa
\
Kupelekwa kuona 15 elf
Karibu ndugu mteja uishi sehemu nzuri na
Contact :
#0785889413๐ฅ๐ฅ