1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 Tsh. 200k
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA KOROGWE KIRUNGULE
Nyumba ipo Umbali wa Kilomita 1.3 Kutoka Main Road. Usafiri Bajaj 500 Pia Zipo Daladala za Kariakoo
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• CHUMBA KIMOJA KIKUBWA SANA MASTER BEDROOM
• JIKO ZURI LA KISASA
• PUBLIC TOILET YA WAGENI
• RESERVED TANK
• GARDEN
Apartment zipo 5 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji yanaflow ndani.
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞_𝙣𝙞 Tsh. 200,000/- Malipo Miezi 4
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞_𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp