1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYAA KALI SANA INAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA SUKA
UMBALI DAKIKA 15 KWA MGUU Au BODA 1000
KODI 300,000 ×6
SEBULE KUBWA SANA
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
JIKON KUNAFUNGWA MAKABATI YA JUU NA CHINI
UMEME LUKU YAKO
MAJI METER YAKO NA YANAFLOW NDANI 24HRS
KUONA NA KULIPIA RUKSA BOSS 💰✍️
BARABARA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI 🚗
IPO NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA
FULL PAVING BLOCKS 🚫
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp