1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA KOROGWE
DK 3 TOKA MOROGORO ROAD
BEI NI 270,000/=X6
SIFA ZAKE
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
SEBULE KUBWA YA WASTANI
INA JIKO KUBWA LA KUTOSHA
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
FENSI NA PARKING NI KUBWA
ULINZI WA UHAKIKA
NB;
IMEJUMUISHWA ULINZI NA USAFI
SIMU 06 59 33 67 51 WSP 07 86 08 56 37