1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1,5 KUTOKA MOROGORO ROAD
SIFA YA NYUMBA NI
Vyumba Viwilli vya kulala chumba kimoja ni master Sebule kubwa sana na
Jiko zuli lipo kwannje hapo pembeni
Nyumba hizi zipo Kwenye fence 4 kila moja inajitegea umeme na maji
๐ฐBEI YA PANGO NI LAKI 280,000 X 6
Kutoka kimara mwisho Usafiri ni Bajaji sh 700
Bodaboda sh 1000
Ukishuka dakika 1 upo Kwenye nyumba
Kuperekwa kuona nyumba Shilling 15,000 Itadum mpaka upate nyumba
Ukipenda na kulipa Dalali utampa hela ya mwez mmoja
CALL 0625606710
CALL 0783794666