1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿 #NEW APARTMENT INAPANGISHWA#
➖➖➖➖➖
📍Eneo: Kimara Korogwe
🕗 Umbali: 1km kutoka stand ya mwendo kasi usafili bodaboda1000 kwa mguu dakika 15 Tu.
🏡#SIFA ZAKE
🔹 Chumba kimoja Master kikubwa
🔹 Sebule kubwa
🔹 Jiko nzuri
🔹 Umeme & Maji – Inajitegemea
🔹 Maji yanapatikana ndani masaa 24
🔹 Fensi & Packing kubwa sana
👉Nyumba ni MPYA, iko tayari kuhamia kuanzia tarehe 28/12/2025
👉 Kuona nyumba na kufanya malipo kunaruhusiwa.
#GHARAMA
🌲 Kodi: Tsh 300,000/= × 6 (miezi sita)
🌲 Malipo ya Dalali: Tsh 300,000/=
🌲 Service Charge: Tsh 20,000/=
#Piga_simu👇
#📞. &Whatsapp
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😁
0713661530_0783661530



















