1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
MPYA MPYA KABISA ZINAPANGISHWA 250K X6
ILIPWE LAKI MBILI NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA
APARTMENT HIZI MPYA ZIPO KIMARA KOROGWE UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.2 USAFIRI BAJAJI DALADALA ZIPO
SIFA ZAKE
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
#SEBULE
#JIKO OPEN KITCHEN
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM FENCE INAJENGWA PARKING SPACE IPO
#UMEME UNAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA