1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿 APARTMENT #INAPANGISHWA
📍kimara korogwe
🕑Dakika 8_10 Kutembea kutoka kituo cha Mwendokasi kwa mguu
🔹SIFAZAKE
🔹Chumba, Kimoja master Kizuri
🔹Umeme luku wanashare 3
🔹 Maji yanaflow ndani
🔹Fenced Car Parking
📌Mazingira Tulivu Sana no uswahili hapa
🔸Kodi Tsh 120,000/=x6 (Miezi Sita)
🔸Malipo ya Dalali Tsh 120,000/=
🔸Service Charge Tsh 15,000/=
#Piga_📞simu
O627977383
#.& Whatsap
#please #Follow us 🙏
Karibu Sana Mteja😊