1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 15/11/2025 KUONA RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
#MASTER BERD ROOM KUBWA NA SEHEMU YA KUPIKIA
#CHUMBA KIMOJA CHENYE CHOO NDANI NA BALAZA YA KUPIKIA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7 KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 170,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA PAMOJA NA PESA YA DALALI YA MWEZI MMOJA
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 20 YA KITANZANIA MPKA UPATE NYUMBA



















