1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿 🇹🇿#APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Korogwe
🕑 Umbali kutoka stand ya mwendo kasi dk 10–12, usafiri boda 1,000/=
Nyumba ni mpya Kabisa kama unavyohiyona hapoo
#SIFAZAKE
Chumba Kimoja Master
Sebule
Kuna Sehemu Ya JIKO Kwa injee
Umeme shea 2 tu
#GHARAMA
Kodi: Tsh 200,000/= × 6 (Miezi Sita
Malipo ya Dalali: Mwezi mmoja
Service Charge: Tsh 15,000/=
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347