1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mazimbu, Morogoro
offa apartment inapangishwa chumba kimoja masta na sebure na jiko na public toilet ndani bei 150k location mazimbu road kihonda maji na umeme kila mtu meter yake maji 24 hour's service charge sh 15,000 no 0658850963