1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 120,000

APARTMENT NZURI YA KIBACHELA INAPANGISHWA BEI NI 120,000/= X 6

🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#CHUMBA KIMOJA TUU KIKUBWA CHENYE CHOO NDANI
#MASTER BEDROOM KUBWA TUU
#HAKUNA SEBULE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#PARKING KUBWA
#IPO NDANI YA FENSI YENYE USALAMA WA KUTOSHA

❌ANATAKIWA MPANGAJI MSELA TUU WA KIKE AU WA KIUME

BEI NI 120,000/= X 6 SIMU 0659336751 WSP 0786085637

💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA

PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI NA UKAFIKA VIZURI SANA HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

Danny_dalaly
danny_dalali_wa_vyumba_kimara
Danny_dalaly

Similar items by location

1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 550,000

IPO WAZI TAYARI NI YA KUHAMIA TU NDUGU MTEJA🇹🇿NYUMBA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT ZINAPANGISHWA;#CHUMBA_MASTA_SEBULE_NA_JIKO💧Location :: MBEZI BEACH UPANDE WA JUU USAFIRI ...

4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 550,000

IPO WAZI TAYARI NI YA KUHAMIA TUU NDUGU MTEJANYUMBA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IN...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

STAND ALONE YA NGUVU YA FAMILIA KALI SANA 400,000X3) MBEZI MWISHO NJIANYA MARAMBA UMBALI WA DAKK 5 ...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

STAND ALONE YA NGUVU YA FAMILIA KALI SANA 400,000X3) MBEZI MWISHO NJIANYA MARAMBA UMBALI WA DAKK 5 ...

3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 37,000,000

BEI MILIONI 37MAONGEZI YAPO NYUMBA INAUZWA IPO MBEZI KWA MSUGURI UMBALI WA KUTOKA KILOMITA 2 HADI S...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH ( karibu...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000

#VYUMBA_VIWILI INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBEZI BEACH______________KODI TSHS MIL 1,500,0...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 800,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH ( karibu...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000

🏡 Apartment for Rent – Mbezi Beach (Nyumba ya Lami)📍 Location: Mbezi Beach – Nyumba ya Lami🛠️ Pro...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

(200,000 × 6) #MBEZI_KWA_MSUGURIApartment ya Chumba master Sebule na Jiko (200,000) #MBEZI_KWA_MSUGU...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT ZINAPANGISHWA;#CHUMBA_MASTA_SEBULE_NA_JIKO 💧Location :: MBEZI BEACH UPANDE WA JUU USAFIR...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 800,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH ( karibu...

House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

(200,000X3) MBEZI MWISHO ——....#MBEZI_MWISHO APARTMENT NZURI ZIPO NNE KWENYE FANCE MOJA BEI SH 200...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

APARTMENT FOR RENT AT MBEZI BEACH YA CHINI LAMI MPAKA GETINI #UNALUUSIWA_KUFANYA_AIR_B.N.B#CHUMBA_SE...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 260,000

#APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA #BEI NI 260,000/= X 3,4,5 NA KUENDELEA DALALI MZOEFU MWEZI M...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

APARTMENT FOR RENT AT MBEZI BEACH YA CHINI LAMI MPAKA GETINI #UNALUUSIWA_KUFANYA_AIR_B.N.B#CHUMBA_SE...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

KODI NI 150,000 TU KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA IPO MBEZI MWI...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 387,747

APARTIMENT KALI SANA INAPANGISHWA IPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK 5 KUTEMBEA KWA MIGUUJINS...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 170,000

NI APARTMENT NZURI MNOOO..INAPANGISHWA 170X6..LOCATION: #KIMARA_MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAEND...