1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
KODI 250,000 × 6
⚡️SEBULE KUBWA
⚡️CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
⚡️JIKO KUBWA ZURI
⚡️CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
⚡️AIR-CONDITION
⚡️LUKU Na METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
⚡️PARKING SPACE KUBWA 🚗
#INAYOPANGISHWA NI YA CHINI NDUGU MTEJA (SIO GOROFANI)
💫💫 APARTMENT HII IPO #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE
#USAFIRI UNATEMBEA DK 1 UPO KWENYE NYUMBA
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp