1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
KODI 250,000 Γ 6
#ITAKUA WAZI KUANZIA 05/04/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#AIR-CONDITION
#LUKU Na METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING SPACE KUBWA π
#INAYOPANGISHWA NI YA CHINI NDUGU MTEJA (SIO GOROFANI)
π«π« APARTMENT HII IPO #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE
#USAFIRI UNATEMBEA DK 1 UPO KWENYE NYUMBA
CONTACT US
0688 067 289 π
0714 418 005 WhatsApp