1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Mbezi Kibanda Cha Mkaa, 2Km Kutoka Morogoro Kutembea Kutoka Mwendokasi, Bajaji 700 pia Unaweza Kupitia Kimara Temboni
#SIFAZAKE
Chumba Kimoja Master, Sebule, Jiko.
Umeme & Maji Inajitegemea
Iko ndani ya fensi na Parking space ipo
Kodi Tsh 200,000/=×6(Miezi Sita)
Malipo ya Dalali Tsh 200,000/=
Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊