1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







🇹🇿NEW Apartment Classic For Rent
Zipo 2 Kwenye Fence
Location: MBEZI MWISHO
Distance: KM 1 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Boda 1000
PRICE: 500,000
Nmeishusha Bei Kodi Ni Miezi 6
✍️Sebule Kubwa Sana
✍️Vyumba V3 Vikubwa
✍️Chumba Kimoja Master
✍️Jiko Kubwa Linawekwa Makabati
✍️Public Toilet Inside 🚻
✍️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✍️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✍️Reserve TANKS
✍️Full Paving Blocks 🚫
✍️Parking Space Available 🚘
✍️Good Environment 💥
Barabara Ni Nzuri Sana Hata Gari Ya Chini 👍
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp