1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENTS MPYAAAA SAFI INAPANGISHWA
MBEZI KWA MSUGURI UMBALI KM 1.8
CHUMBA MASTER KUBWA SANA
NA JIKO LAKE KUBWA
LENYE MAKABATI YA CHINI
NDANI YA FENSI SAFI
PARKING KUBWA SANAAA
MAJI YANAFLOW NDANI
UMEME SUBMITA YAKO
BEI 120X6
PIA HAPA KUNA CHUMBA MASTER SEBULE JIKO BEI 200K
WAHI CHAP 🔥🔥
KUONA ELF 15
UKILIPIA MWZ 1 DALALI
CONTACT:: 0672 673363