1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA YA KISASA KABISA INAPANGISHWA
LOCATION: MBEZI KWAMSUGURI
KODI 200,000X4
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 1.
CHUMBA MASTER KUBWA SEBURE KUBWA SANA NA JIKO KUBWA
INA JITEGEMEA UMEME LUKU YAKO NA METER YAKO YA MAJI
MAJI PIA YANA FLOW NDANI
KWENYE COMPAUND MOJA ZIPO APARTMENT 4
HAINA FENS ILA PARKING SPACE IPO
BARABARA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
NYUMBA HII KODI NI KUANZIA MIEZI 4 TU
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA CM CHAPU UHUDUMIWE
0679447338
0753454167