1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa:
(Zipo MBILI NDANI ya fence)
Location :: MBEZI MWISHO
Bei yake :: 300,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Chumba Kimoja ambacho ni Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans &
🌡️Paving Blocks zinawekwa
🌡️Fence
🌡️umeme na maji unajitegemea
🥕Feni
Call/Whatsapp;
0782428327