1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa:
Location :: Mbezi mwisho njia ya mpiji(Machimbo)
Bei yake :: 250,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Chumba Kimoja ambacho ni Masta)
🥕sebure kubwa
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
🌡️Feni
🌡️umeme na maji unajitegemea
🌡️ Garden
Call/Whatsapp;
0782428327