1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT Classic For Rent β¨οΈ
Location: MBEZI KIBANDA CHA MKAA
IPO UPANDE WA KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI
KODI 250,000 Γ 4/5/6
USAFIRI BAJAJI 700/ BODA 1000 UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI
#SEBULE KUBWA SANA
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
#JIKO KUBWA ZURI
#PUBLIC TOILET NZURI π»
#INAJITEGEMEA UMEME Na MAJl
#MAJI YANAFLOW JIKONI Na CHOONI
#FENCED
#PARKING Space Kubwa π
#Good Environment π
KODI 250,000 Γ 4/5/6
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
CONTACT US
0688 067 289 π
0714 418 005 WhatsApp