1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 250k
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: UBUNGO EXTERNAL GARAGE
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 5 Kutoka Main Road.
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule Kubwa
• Chumba Kimoja Cha Kulala Kikubwa
• Jiko Kubwa
• Choo Kizuri Ndani
Apartment Zipo 4 Ndani ya Fensi Parking ipo, na Kila Apartment Inajitegemea Umeme LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 250,000/- Malipo Kuanzia Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
#𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞_𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp