1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA!
NOTE:
APARTMENT ZIPO TANO KWENYE COMPAUND MOJA ILA KATI YA HIZO MOJA IPO WAZI
SIFA
CHUMBA KIMOJA MASTER
JIKO
TILES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
UMEME SUB-METER WAWILI
MAJI NI DAWASCO YANAFLOW NDANI
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI ILA PARKING HAKUNA
LOCATION
UBUNGO EXTERNAL MAKUBURI. UMBALI WA KUTEMBEA DK. 15 KWA MIGUU KUTOKA KITUONI
BEI
KODI KWA MWEZI NI TSH. 140,000 ILIPWE MIEZI SITA
0684217177, 0716834095