1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
KODI 250,000X6
LOCTION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 KUTOKA KIMARA KOROGWE MWENDO KASI AU UBUNGO RIVER SIDE
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SERVICE CHARGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO NZR LA KISASA
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
PIGA SIMU NDUGU MTEJA: 0672 673363