1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 300k
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: UBUNGO RIVERSIDE
#𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚: Dakika 5 kwa Mguu kutoka Stand Main Road
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule kubwa
• Chumba kimoja Cha Kulala Kikubwa
• Jiko Kubwa
• Choo Kizuri Sana Ndani
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 300,000/- Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
#𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞_𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp