1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
Apartment Classic For Rent
Location: UBUNGO RIVERSIDE
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 5 kutoka Stand Riverside
📌Sebule Kubwa
📌Chumba Kimoja Cha Kulala Master Bedroom.
📌Jiko Kubwa
📌Choo Kizuri cha Wageni
📌Reserve Tank
Apartment zipo ndani ya Fence
Parking Space Available 🚗
Apartment Umeme LUKU Inajitegemea Na Maji DAWASA Yanaflow Ndani 24HRS
KODI 300,000 × 6
Service Charge 15,000
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp