1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


🇹🇿Apartment Classic For Rent
Zipo 2 Kwenye Fence
Location: UBUNGO EXTERNAL
Umbali wa Kutembea kwa Mguu Dakika 7 Kutoka Main Road na Barabara ni Nzuri
📍Sebule Kubwa Sana
📍Dining Room
📍Vyumba V4 Vikubwa Vya Kulala
📍Chumba Kimoja Master
📍Jiko Kubwa la Kisasa
📍Public Toilet Nzuri 🚻
📍Reserve Tank (Dawasa)
📍Parking Space Kubwa 🚗
Kila Apartment IInajitegemea Umeme LUKU Na Maji Dawasa Yanaflow Ndani 24HRS
KODI 500,000 × 6
📌Nyumba Ipakwa RANGI Ndani Na NJE 👍
CONTACT US;
0688 067 289 📞