1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 270k
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA
Unaweza Ukapitia KIMARA KOROGWE Usafiri Bajaj 500 Barabara Mpya
Unaweza Ukapitia UBUNGO EXTERNAL Usafiri Bajaj 00 Barabara Mpya
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• SEBULE KUBWA
• CHUMBA KIMOJA KIKUBWA CHA KULALA
• JIKO ZURI
• CHOO KIZURI NDANI
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 270,000/- Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
0715949085
0782838336