1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa UBUNGO MSEWE
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Master bedroom
Sebule kubwa
Umeme wa luku
Maji ya dawasco
Iko kwenye fenci
Usalama wakutosha
Kodi 180,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.