1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE  dk3
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA na Choo 
MASTER BEDROOM
Umeme wa luku
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Paving block
Parking yakutosha
Kodi 200,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 3
Kwa maelezo zaidi piga :---
0713661530_0783661530 
Wote mnakalibishwa
Mr.




















