1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA KODI 250,000X6
LOCTION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 KUTOKA KIMARA KOROGWE MWENDO KASI AU UBUNGO RIVER SAID
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO NZR LA KISASA
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
NB: KWA SASA INAFENSI NA GETI PICHA ZA MWANZO HIZI NDUGU MTEJA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347